Pages

Sunday, 4 September 2011

Ujirani mwema

Utadu nini kama unaishi karibe na jirani yuko beautiful kama mimi? Na kila siku anagombanishwa ama kupigwa na bwana yake?

Mambo ingine inasinda mimi kabisaa. Huyu jamaa ana kidosho mzuri hivi na amesindwa kumaintain. Sasa mimi inabidi nianze kumhurumia kwa sababu ... heee! Si unajua tu?

Sasa mimi nasema asinilaumu ikiwa mambo itaenda vile wewe unafikiria. Na ninajua tu vile unafikiria ndivyo mimi ninafikiria.  Imagine juzi ilibidi tuanze kusalimiana na huyu dame. Na sio kwa ubaya.  Ni vile anakuwa mistreated mpaka anakaa akiwa sad kila wakati. Sasa kama ni wewe utafanyaje? Na vile ana smile muzuri!

Mimi naona nikinyorosha yeye hivi karibuni. Leo imekuwa introduction tu. Nitakukeep updated vile mambo itaendelea.

No comments:

Post a Comment